Onyesha ramani yako, picha moja baada ya nyingine

Taswira ya Mtaa inaunganisha mabilioni ya picha za panaorama ili kuwakilisha mazingira yetu kwa njia pepe kwenye Ramani za Google. Maudhui ya Taswira ya Mtaa hutoka kwenye vyanzo viwili - Google na wachangiaji. Kupitia juhudi zetu za pamoja, tunawawezesha watu kila mahali wagundue ulimwengu kwa njia pepe.

Watch the film

Link to Youtube Video (visible only when JS is disabled)

Njia pepe ya kusafiri

Picha za digrii 360 hukusaidia uchague mahali pa kwenda na unachoweza kutegemea unaposafiri. Gundua alama muhimu, matunzio na majumba ya makumbusho kutokea kwenye kifaa chako au rudi nyuma utazame picha za zamani za Taswira ya Mtaa ili uone jinsi eneo lilivyobadilika kadiri muda unavyosonga.

Gari la Taswira ya Mtaa ya Google

Mahali ambako Google inaelekea kukusanya picha za Taswira ya Mtaa

Gundua tunakoelekea kwa kutumia gari la Taswira ya Mtaa au Trekker ya Taswira ya Mtaa.

Gundua maeneo ya kupendeza kwenye Taswira ya Mtaa