Ofa za Google Workspace kwa mashirika yasiyo ya faida
Kupitia mpango wa Google kwa Mashirika Yasiyo ya Faida, masharika ambayo yanatimiza masharti yanapata uwezo wa kufikia ofa za Google Workspace kwa bei zilizopunguzwa
Google Workspace kwa Mashirika Yasiyo ya Faida
$0
USD /mtumiaji/mwezi
|
Business Standard
$3.00
USD
kwa kila mtumiaji kwa mwezi, malipo ya mwaka 1
Au $3.60 kwa kila mtumiaji kwa mwezi, ikilipwa kila mwezi
×
Punguzo la asilimia 75 kwenye bei ya kawaida |
Business Plus
$5.04
USD
kwa kila mtumiaji kwa mwezi, malipo ya mwaka 1
Au $6.05 kwa kila mtumiaji kwa mwezi, ikilipwa kila mwezi
×
Punguzo la asilimia 72 kwenye bei ya kawaida |
Enterprise Standard na Enterprise Plus
Zaidi ya asilimia 70
imezimwa
bei ya kawaida |
||
---|---|---|---|---|---|
Google Workspace kwa Mashirika Yasiyo ya Faida
$0
USD /mtumiaji/mwezi
|
Business Standard
$3.00
USD
kwa kila mtumiaji kwa mwezi, malipo ya mwaka 1
Au $3.60 kwa kila mtumiaji kwa mwezi, ikilipwa kila mwezi
×
Punguzo la asilimia 75 kwenye bei ya kawaida |
Business Plus
$5.04
USD
kwa kila mtumiaji kwa mwezi, malipo ya mwaka 1
Au $6.05 kwa kila mtumiaji kwa mwezi, ikilipwa kila mwezi
×
Punguzo la asilimia 72 kwenye bei ya kawaida |
Enterprise Standard na Enterprise Plus
Zaidi ya asilimia 70
imezimwa
bei ya kawaida |
||
Tija na Ushirikiano |
Gmail Barua pepe ya biashara |
||||
Barua pepe maalum ya shirika lako lisilo la faida |
||||
Ulinzi wa wizi wa data binafsi na taka ambao unazuia zaidi ya asilimia 99.9 ya mashambulizi |
||||
Hali ya utumiaji wa barua pepe bila matangazo |
Meet Mkutano wa video na sauti |
Washiriki 100 | Washiriki 150 | Washiriki 250 | Washiriki 250 |
Muda wa mkutano (kiwango cha juu) |
saa 24 | saa 24 | saa 24 | saa 24 |
Nambari za simu za Marekani au za kimataifa za kupiga ili kujiunga kwenye simu |
||||
Ubao dijitali |
||||
Rekodi za mkutano zilizohifadhiwa kwenye Hifadhi ya Google |
Drive Hifadhi ya wingu iliyo salama |
Watumiaji wote wanatumia TB 100 kwa pamoja* | TB 2 kwa kila mtumiaji* | TB 5 kwa kila mtumiaji* | Kama unavyohitaji* |
Programu ya kufikia faili za Hifadhi |
Chat Utumaji ujumbe wa timu |
||||
Washa au uzime historia kwa chaguomsingi |
||||
Kubali mialiko kiotomatiki |
Kalenda Kalenda zilizoshirikiwa |
||||
Vinjari na uweke nafasi ya vyumba vya mkutano |
Hati, Majedwali, Slaidi Uundaji maudhui yanayoshirikisha |
||||
Weka Madokezo Yaliyoshirikiwa |
||||
Zana za tovuti za kutengeneza tovuti |
||||
Zana za kutengeneza fomu za utafiti |
||||
Inatumika pamoja na faili za Office |
||||
Uchanganuzi rahisi kwa kutumia Mapendekezo ya Kujaza, Kisafisha Data Mahiri na Majibu |
||||
Usaidizi wa kuandika kwa kutumia Kipengele cha Utungaji Mahiri, mapendekezo ya sarufi na kipengele cha kusahihisha tahajia kiotomatiki |
||||
Uwekaji chapa maalum kwa violezo vya hati na fomu |
||||
Laha Zilizounganishwa |
Darasa anzisha na udhibiti madarasa, kazi za shuleni na alama mtandaoni bila kutumia karatasi |
||||
Linda data na uweke ruhusa kwa ajili ya watumiaji wako |
AppSheet Unda programu bila kutumia msimbo |
Currents Wasiliana na wafanyakazi |
Cloud Search Utafutaji mahiri |
Data ya kikundi cha kwanza | Data ya kikundi cha kwanza | Data ya kikundi cha kwanza na cha tatu |
Usalama na Udhibiti |
---|
Uthibitishaji wa hatua mbili |
||||
Vidhibiti vya sera ya kikundi |
||||
Mpango wa Ulinzi wa Hali ya Juu |
||||
Udhibiti wa kifaa |
Ya msingi | Ya msingi | Mipangilio ya kina | Enterprise |
*Google Workspace hutoa hifadhi ya pamoja iliyo nyumbufu inayoweza kufikiwa na kila mtumiaji aliye kwenye shirika. Wateja walio katika mpango wa biashara wanapewa uwezo wa kutumia TB 5 za hifadhi ya pamoja kwa kila mtumiaji na wanaweza kuomba hifadhi ya ziada ikihitajika kwa kuwasiliana na Usaidizi kwa Wateja wa Google.