Usaidizi kuhusu bidhaa
Soma ukurasa huu ili upate maelezo zaidi kuhusu bidhaa zinazotolewa kupitia mpango wa Google kwa Mashirika Yasiyo ya Faida na kupata viungo vya kuelekeza kwenye nyenzo muhimu.
Je, hupati unachotafuta?
Google Workspace kwa Mashirika Yasiyo ya Faida
Mashirika ambayo yamejisajili kwenye mpango wa Google Workspace hupata usaidizi wakati wowote kutoka kwa wawakilishi waliopata mafunzo.
Pata maelezo kuhusu jinsi ya kuweka mipangilio ya Google Workspace kwa Mashirika Yasiyo ya Faida kwa urahisi, ikiwa ni pamoja na akaunti yako, barua pepe za shirika lisilo la faida na watumiaji.
Pata vidokezo, mbinu na suluhu zilizopangwa kulingana na bidhaa na manufaa.
Elewa jinsi ya kusimamia na kudhibiti akaunti ya Google Workspace ya shirika lako.
Ruzuku za Google Ad
Pata vidokezo, mafunzo na majibu ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara.
Soma machapisho, uliza maswali na ushiriki majibu na wengine ukitumia Ruzuku za Google Ad.
Pata vidokezo, mafunzo na majibu ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara.
Vutia wahisani zaidi mtandaoni ukitumia ufadhili wa matangazo.
Mpango wa YouTube wa Mashirika Yasiyo ya Faida
Wasiliana na timu ya usaidizi ya Mpango wa YouTube wa Mashirika Yasiyo ya Faida.
Soma machapisho, uliza maswali na ushiriki majibu na wengine ukitumia YouTube.
Pata vidokezo, mafunzo na majibu ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara.
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kufikia hadhira kubwa na yenye ari.
Google Earth na Ramani
Pata uwezo wa kufikia hati na maelezo kuhusu jinsi ya kuanza kutengeneza ukitumia Jukwaa la Ramani za Google.
Pata vidokezo, mafunzo na majibu ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara.
Tumia zana hizi ili kupata maarifa mapya, kuhamasisha au kusaidia watu wachukue hatua ili kuboresha ulimwengu.
Leta mabadiliko yanayoboresha watu na mazingira ukitumia zana za kijiografia.
Gundua jinsi mashirika hutumia mpango wa Google kwa Mashirika Yasiyo ya Faida kuleta mabadiliko.
WaterAid
WaterAid hutumia zana za Google ili kubuni maudhui yanayovutia na kushirikisha zaidi, hali inayosababisha kuunganishwa zaidi na wafadhili.
Charity: Water
Zana za kijamii, uchanganuzi na uboreshaji kutoka Google zinasaidia Charity:Water kuelimisha wahisani na kushiriki ujumbe wake.
Natural Resources Defense Council
NRDC hutumia zana za Google kuwasiliana vizuri, kuelewa data yao na kuelekeza watu zaidi kwenye tovuti yao.