Gundua jinsi mashirika ulimwenguni kote yalivyopanua hadhira yake na kupata wahisani zaidi kupitia mpango wa Google kwa Mashirika Yasiyo ya Faida.
Action Against Hunger hutumia zana za Google ili kushirikiana kwa urahisi duniani kote na kuchangisha pesa za kuokoa maisha.
Jumuiya ya kimataifa kwenye YouTube imesaidia Anaheim Ballet kufikia mamilioni ya watazamaji bila kuondoka kwenye jukwaa.
Zana za kijamii, uchanganuzi na uboreshaji kutoka Google zinasaidia Charity:Water kuelimisha wahisani na kushiriki ujumbe wake.
Kwa kutumia Google kwa Mashirika Yasiyo ya Faida, Crime Victims Treatment Center huweka maelezo nyeti kwa usalama na yakiwa yamepangwa na pia kurahisisha shughuli.
Direct Relief inatumia zana za Google ili kuwafikia wafadhili zaidi, kuondoa vizuizi vya michango na kuwazia athari yake.
Fundación Todo Mejora hutumia Ruzuku za Matangazo ili kutoa ushauri wakati wa matatizo kwa vijana wa LGBT kote nchini Chile.
Shirika la Girl Scouts of Japan hutumia zana za Google kuendeleza mipango, kulinda data yao na kuwawezesha wasichana na wanawake wachanga kote nchini.
JGI hutumia zana za Google Earth ili kurekodi, kuchanganua na kushiriki maelezo kuhusu uharibifu wa misitu ulimwenguni.
Kiva hutumia YouTube ili kuwezesha jumuiya yake kwa kuwahimiza mashirika, wafanyakazi wa kujitolea na watumiaji kushiriki hadithi zao.
NRDC hutumia zana za Google kuwasiliana vizuri, kuelewa data yao na kuelekeza watu zaidi kwenye tovuti yao.
Kwa kutumia Google Workspace, shirika la Navigators linaweza kuratibu mtandao mkubwa wa wafanyakazi wa kujitolea na wazazi nchini kote.
Google Workspace husaidia shirika la Nuru kufanya shughuli zake za kila siku vizuri zaidi na kwa ufanisi kwenye maeneo 11 yanayotumia saa tofauti za eneo.
RNLI inatumia zana za Google kuhamasisha, kuandikisha wafadhili wapya na kuelewa vizuri watu wanaotembelea tovuti yake.
Shirika la Special Olympics lilitumia Google Workspace ili kuwapanga waliojitolea na Ruzuku za Matangazo ili kuwashirikisha watazamaji wakati wa Michezo ya Dunia ya 2015.
Kabila la Surui limetumia Google Earth na Open Data Kit kurekodi matukio ya ukataji haramu wa miti katika ardhi yao ya kiasili.
Shirika la Thrive DC hutumia mpango wa Google kwa Mashirika Yasiyo ya Faida kufanya kazi kwa haraka ili kupata muda mwingi wa kuhudumia jumuiya.
Makavazi ya Van Gogh hutumia YouTube na Ruzuku za Matangazo ili kuwafikia wageni wapya na kuhamasisha.
WaterAid hutumia zana za Google ili kubuni maudhui yanayovutia na kushirikisha zaidi, hali inayosababisha kuunganishwa zaidi na wafadhili.
Ili kusambaza maudhui ya kushurutisha na kupanga shughuli za kila siku, WITNESS hutegemea zana za Google zisizolipishwa.